Safari ya Zimbabwe ni kiki!? - Mke wa Roma
Mke wa rapa Roma Mkatoliki, bibie Nancy Mshana amedai watu wanaodhani mume wake katumia kiki ya kwenda Zimbabwe ili wimbo wake mpya uwe gumzo wapo sahihi na hafikirii kumlaumu mtu yeyote kwani ni uhuru wa kujieleza