Sitegemei muziki kuishi mjini - Shetta Msanii Shetta Rapa anayewakilisha Ilala, Shetta 'Baba Qayllah amefunguka na kudai kwamba haishi kwa kutegemea kufanya 'show' ndio maana maisha yake hajawai kuyumba hata kama asipotoa nyimbo kwa muda mrefu Read more about Sitegemei muziki kuishi mjini - Shetta