VIDEO: Shaa afunguka kuhusu kolabo na chipukizi
Malkia wa uswazi anayefanya poa kwenye game ya bongo fleva, Shaa amefunguka na kusema haoni shida kumsaidia msanii chipukizi ili kutimiza malengo yake kwani hata yeye alishikwa mkono na wasanii wakubwa pasipo kulipishwa hata shilingi mia.