Rais Magufuli "Mh. Spika wale wanaoropoka bungeni naona unaenda nao sawa, nenda na mwendo huo huo, maana wakiwa kule wanaweza kutukana wanalindwa na kinga ya bunge, ila ukiwatimua mwezi mzima wataropoka nje ya bunge na mimi nitadili nao vizuri". Read more about Rais Magufuli