Mwakyembe alipiga kufuli gazeti la Mawio Serikali imelifungia gazeti la Mawio kwa miezi 24, kwa kuwahusisha marasi wastaafu Benjamini Mkapa na Jakaya Kikwete sakata la mchanga wa madini (Makanikia). Read more about Mwakyembe alipiga kufuli gazeti la Mawio