Nyoso apata shavu Hatimaye aliyekuwa Nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso amepata kibarua kipya cha kusajiliwa na timu ya Kagera Sugar katika msimu mpya wa usajili uliofunguliwa leo rasmi. Read more about Nyoso apata shavu