Gabo ajinadi kuikomboa filamu
Muigizaji Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amefunguka kwa kudai kwamba ameamua kujitolea kufa na kupona ili kunusuru tasnia ya filamu isonge mbele kwa kutumia Teknolojia ya simu ambayo itawasaidia Watanzania kupata filamu bure na kwa urahisi.