Mbaroni kwa kuiba lita 38 za mafuta ya ndege Kamishna Simon Sirro Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Simon Sirro ametoa onyo kwa watu wanaojihusisha na wizi, uuzaji na ununuzi wa mafuta ya ndege nchini. Read more about Mbaroni kwa kuiba lita 38 za mafuta ya ndege