Rungwe autaka ukocha wa Taifa Stars Mwenendo usioridhisha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, umemuibua Mwenyekiti wa chama cha siasa cha Ukombozi wa Umma, (CHAUMMA), Mzee Hashim Rungwe, kutaka yeye ndiyo aitwe kuwa kocha wa timu hiyo. Read more about Rungwe autaka ukocha wa Taifa Stars