Sijawahi kubebwa na Chege - Mh. Temba

Temba (kushoto) akiwa na Chege

Msanii wa bongo fleva Temba amesema maneno yanayoongelewa kwamba anabebwa kimuziki na msanii mwenzake Chege hali inayompelekea ashindwe kuachia nyimbo kwa muda mrefu hayana ukweli wowote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS