Huduma ya LUKU kukosekana kwa saa 12 Watumiaji wa umeme nchini watakosa huduma ya ununuzi wa nishati hiyo kwa njia ya LUKU kwa takriban saa 12, kutokana na kuzimwa kwa mfumo unaohusika na huduma hiyo. Read more about Huduma ya LUKU kukosekana kwa saa 12