Zanzibar yapata uanachama kamili CAF

Kikosi cha Zanzibar Heroes

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) leo limepitisha ombi la Zanzibar kuwa mwanachama wake mpya bila ya kupingwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa shirikisho hilo uliofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS