Majani alivyokwama kumpata malkia wa hip hop
Producer mkongwe nchini P Funk Majani amesema ni mapema sana kwa kipindi hiki kumtangaza au kumtafuta malkia wa hip hop kama ilivyokuwa kwa upande wa wanamuziki wa kiume ambapo alimtangaza Fid Q kuwa mfalme wa muziki Bongo.