Lebo zinapoteza wasanii - Matonya
Msanii Matonya aliyetamba na wimbo ‘Vailet’amekuwa na mtazamo wa tofauti na wasanii wengine ambao kila kukicha wanatamani kusajiliwa katika ‘lebo’ mbalimbali zinazofanya vizuri hapa bongo ili waweze kutangaza kazi zao kwa urahisi.