VIDEO: Majani amtabiria 'ufalme' Harmorapa
Producer mkongwe nchini P Funk Majani amemtabiria msanii Harmorappa kuja kuwa msanii mkubwa nchini tofauti na watu ambavyo wanamchukulia kama kijana asiyejua chochote kwenye muziki na anayetafuta kiki huku wakimbeza kwamba hajui kuimba.