Joe Hart ajiengua Ligi Kuu ya England Joe Hart Mlinda mlango wa England Joe Hart amesema yeye ni "Mahitaji ya ziada" kwenye klabu ya Manchester City, na haoni kama atachezea tena klbu hiyo ya ligi nchini England. Read more about Joe Hart ajiengua Ligi Kuu ya England