Oparesheni 'viroba' kuwafikisha 6 mahakamani Katoni 99 za viroba zilizokamatwa Jumla ya watuhumiwa 9 waliokamatwa na pombe Kali zilizopigwa marufuku nchini mkoani Mbeya, wanatajiwa kufikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika. Read more about Oparesheni 'viroba' kuwafikisha 6 mahakamani