Warioba acharuka kuhusu tatizo la njaa Tanzania

jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Warioba amewataka watanzania wote kuungana na kujiaandaa kukabiliana na baa la njaa ambalo huenda likatokea, huku akikiri kuwa tatizo la upungufu wa chakula kwa mwaka huu, ni kubwa kuliko kawaida.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS