Sihitaji 'collabo' na msanii wa nje - Barnaba

Barnaba Classic

Msanii Barnaba Classic amesema hajaona manufaa yeyote katika muziki wake kwasasa kufanya ‘collabo’ na wasanii kutoka ng’ambo huku akisisitiza kuwa yeye ndiye anaongoza kwa kupiga ‘show’ nje ya Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS