Makocha Yanga na Zanaco watupiana madongo George Lwandamina Kocha wa Yanga SC, George Lwandamina amemjibu mapigo ya kocha wa Zanaco ya Zambia Mumamba Numba aliyedai kumjua vizuri Lwandamina na falsafa zake kwa aliwahi kufanya naye kazi nchini Zambia. Read more about Makocha Yanga na Zanaco watupiana madongo