Mbaroni kwa kukutwa na mikia ya twiga Vipande vya meno ya tembo vilivyokamatwa Watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali ambazo ni vipande 9 vya meno ya tembo na mikia 2 ya twiga. Read more about Mbaroni kwa kukutwa na mikia ya twiga