Nancy Sumari aitaka wizara iibebe ajenda ya pedi
Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari ameipongeza EATV kwa kampeni iliyoanzisha ya 'Namthamini' yenye lengo la kumchangia mtoto wa kike kupata pedi ili waweze kuhudhuria shule kama mtoto wa kiume pamoja na kufanya vizuri masomo yao.