Licha ya ushindi, Conte awabwatukia mabeki wake
Kocha wa Chelsea Antonio Conte, amesikitishwa na walinzi wake kuruhusu bao la dakika za majeruhi, licha ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya West Ham usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.