Nay wa Mitego 'alivyomteka' AY
Msanii Nay wa Mitego 'amemteka' msanii mkongwe wa bongo fleva AY 'Mzee wa Comercial' na kuibuka naye katika studio yake ya Free Nation jambo linalozua maswali kuwa huenda kuna kazi ya pamoja ambayo wawili hao wanafanya.