Ibrahimovic akabiliwa na balaa England Zlatan na Mings Mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic na Mlinzi wa Bournemouth Tyrone Mings wote wawili wameshitakiwa na chama cha soka nchini Uingereza FA, kwa makosa ya kinidhamu. Read more about Ibrahimovic akabiliwa na balaa England