Polisi Mbeya yaua majambazi wawili

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Emmanuel Lukula

Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameawa katika mapambano na jeshi la Polisi Mkoani Mbeya, wakati wakiwa katika harakati za kufanya uhalifu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS