VIDEO: Madee na Lulu wafumwa LIVE kwenye gari

Madee na Lulu

eNewz ya EATV imewafuma LIVE wasanii wa bongo fleva Madee na Lulu Diva wakiwa wawili tu ndani ya gari, ambapo Madee amesema kuwa wamekutana kwa ajili ya shughuli za kimuziki na si vinginevyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS