Ni ngumu kuitoa Chelsea kileleni - Guardiola
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema pengo la pointi kati yao na Chelsea, ni kubwa sana licha ya kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Bournemouth katika Uwanja wa Vitality, na kukwea hadi nafasi ya pili.