Isihaka, Ludovic waizuia Mtibwa kutamba Taifa Nahodha wa African Lyon, Hassan Isihaka Nahodha wa African Lyon Hassan Isihaka, na mshambuliaji Venance Ludovic, leo wameizuia Mtibwa Sugar kutoka na pointi tatu katika dimba la Taifa Dar es Salaam, kwa kuilazimisha sare ya mabao 2-2 Read more about Isihaka, Ludovic waizuia Mtibwa kutamba Taifa