Yanga yawafuata Wacomoro bila Ngoma, Dante
Kikosi cha wachezaji 20 cha Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga kinaondoka hapo kesho Jumamosi kuelekea nchini Comoro kwa ajili ya mchezo wake wa Kwanza wa Klabu bingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa nchini hiyo Ngaya