Anaswa na mzigo wa dawa za kulevya chumbani

DCP Ahmed Msangi - RPC Mwanza

Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya yanayodhaniwa kuwa heroine kiasi cha pinchi 240 na ndonga mbili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS