Wema na wenzake kufikishwa mahakamani
Jumla ya kete 299 za dawa za kulevya zimekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kufanyika msako kwenye nyumba za watuhumiwa 112 wa dawa za kulevya wanaoshikiliwa na jeshi hilo kwa muda wa siku 3 ambapo 12 kati yao wako tayari kufikishwa Mahakamani.