Kamanda Sirro awaita waliotajwa na Makonda

Kamishna Simon Sirro

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amewataka watu wote waliotajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhusika na dawa za kulevya, kuripoti kituo kikuu cha polisi kama walivyoamrishwa na mkuu huyo wa mkoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS