Serikali yaitia nguvu Serengeti Boys bungeni
Serikali kwa kushirikiana na shirikisho la soka nchini (TFF) pamoja na wadau wengine imeihakikishia timu ya vijana ya chini ya Miaka 17 Serengeti Boys kambi ya mwezi mmoja ili kuweza kujiandaa na fainali za michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON)