Dayna akemea wasanii wanaopenda kuandikiwa Dayna Nyange Msanii wa bongo fleva Dayna Nyange amewasihi wasanii wa kike nchini kujifunza kuandika nyimbo zao wenyewe ili kuweza kupata 'melodi' na mizuka ya kuimba nyimbo nzuri. Read more about Dayna akemea wasanii wanaopenda kuandikiwa