Vanessa Mdee ataja kinachompa mafanikio
Msanii wa muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Cash Madame' amefunguka na kutoa siri ya kitu kinachomfanya kuwa bora na kufanikiwa kuwa ni pamoja na kufanya kazi sana na kuheshimu ratiba yake.