Linex aonya wenye 'kiherehere' kwenye mapenzi Linex Msanii wa bongo fleva Linex ameelezea maana ya wimbo wake alioupa jina la 'Kiherehere' na kuwashauri watu wanaojiingiza katika mapenzi kuacha kiherehere. Read more about Linex aonya wenye 'kiherehere' kwenye mapenzi