Wasanii wa injili hawaigizi maisha - Shusho Christina Shusho Msanii wa nyimbo za Injili Christina Shusho amesema wasanii wa nyimbo za Injili hawana tabia za kuongea uongo wala maisha ya kuigiza katika maisha yao ya umaarufu. Read more about Wasanii wa injili hawaigizi maisha - Shusho