Misri kujenga viwanda vya dawa Tanzania

Rais Magufuli alipokutana na Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi ambaye amekubali nchi hiyo kuja kujenga viwanda vya dawa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS