Watu mil 1.1 wakabiliwa na upungufu wa chakula Dkt. Charles Tizeba Jumla ya tani 35,491 za chakula zinahitajika ili kukabiliana na hali ya upungufu wa chakula na lishe kati ya mwezi Februari na mwezi Aprili mwaka huu unaowakabili watu 1,186,028. Read more about Watu mil 1.1 wakabiliwa na upungufu wa chakula