Simu yawagombanisha Vanessa na Jux Jux na Vanessa Msanii wa muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee amefunguka na kuweka wazi kuwa mara nyingi huwa wanagombana na mpenzi wake huyo Jux kutokana na tabia yake ya kuchelewa kujibu jumbe fupi au hata kupokea simu zake. Read more about Simu yawagombanisha Vanessa na Jux