Chura ya Snura yawapagawisha Wanigeria
Wimbo wa msanii Snura ambao ulifungiwa kwa mara ya kwanza na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) 'Chura' umeonekana kuwakosha baadhi ya raia wa Nigeria baada ya msanii mkubwa wa Nigeria Don Jazzy kujirekodi video huku akiimba na kucheza ngoma hiyo