Azam yasaka kulipa kisasi kwa Ndanda FC leo

Ndanda walipokutana na Azam msimu uliopita

Azam FC, inashuka dimbani leo kuvaana  na Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex leo Jumapili saa 1.00 usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS