Anaswa na mahindi ya bei chee kutoka nje ya nchi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya DCP Dhahiri Kidavashari

Mfanyabiashara aliyejulikana kwa jina moja la JAPHET amekamatwa na kikosi maalum  kinachohusisha TRA , POLISI na MAAFISA WA KILIMO akiwa anavusha mahidi kwa njia ya panya kutoka nchini Malawi bila ya kufuata utaratibu wa sheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS