Michael B Jordan apata tuzo ya kwanza ya Oscar

Michael B. Jordan hatimaye ameandika historia mpya katika tasnia ya filamu baada ya kushinda tuzo yake ya kwanza ya Oscar. Muigizaji huyo alitwaa tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume (Best Actor) kupitia uigizaji wake katika filamu ya Sinners.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS