Shai Gilgeous-Alexander avunja rekodi NBA

Shai Gilgeous-Alexander

Shai Gilgeous-Alexander  rasmi ameingia  katika vitabu vya historia ya mpira wa kikapu baada ya kufunga points 20+ katika michezo 127 mfululizo  katika ushindi wa 104-102 walioupata Oklahoma City Thunder dhidi ya Boston Celtics na kuivunja rekodi ya gwiji wa zamani wa NBA Wilt Chamberlain

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS