Ujio wa wakimbizi watajwa kuwa fursa kiuchumi
Watanzania hususani wale wanaoishi maeneo ya mipakani wameanza kunufaikia na fursa za kiuchumi zinazotokana na ujio wa wakimbizi ambao kwa muda mrefu wameonekana kuwa hasara na mzigo kwa nchi wanazokimbilia.