Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dkt . Hellen Kijo-Bisimba
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kulingana na ripoti ya UNHCR inaonesha kuwa katika wakimbizi milioni 10 kuna watoto laki moja hawana watu wazima ama wazazi wanaoongozana nao.