ACT-Wazalendo yaunga mkono serikali ya awamu ya 5

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe (Katikati) akizungumza na vyombo vya habari katika makao makuu ya chama hicho, leo.

Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kinaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kupambana na ufisadi na kujenga uwajibikaji nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS