Rais Magufuli na msafara wa baadhi ya viongozi akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Waziri wa Ardhi William
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza waliokuwa wakazi wa Magomeni Kota kukaa kwenye nyumba za serikali miaka mitano bure na baadaye kuzinunua kwa bei nafuu.